Unajua kunitamanisha jamani na icho kipilipili Cha mwendo Kasi pembeni dah..
Unajua kunitamanisha jamani na icho kipilipili Cha mwendo Kasi pembeni dah..
Sent using Jamii Forums mobile app



Ana supu nzuri sana huyu!

Too much meat my friend.
Dogo una kilo ngapi ?
Umepanga vitu heavyweight.
HahahahaUmepanga vitu heavyweight.


Hili la kilo chache linanipa ukakasi.








Halafu hiyo siku hata sikushibaHili la kilo chache linanipa ukakasi.
![]()

Hahahaha, eti pleti ndogo.Halafu hiyo siku hata sikushiba
Hiyo plate Ni ndogo ujue.
Kuhusu kilo Ni chache Hadi naogopa kuziweka hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app






Nipo Kwenye majaribio ya kula nyama na chipsi niongeze mwiliHahahaha, eti pleti ndogo.
Wewe sikuwezi kabisaa.
Hebu taja basi hizo kilo ndogo tuone, ili ufanyiwe diet therapy.



Dogo unataka mwili mkubwa ????Nipo Kwenye majaribio ya kula nyama na chipsi niongeze mwili
Kilo chache Sana aisee..sihitaji diet
Sent using Jamii Forums mobile app






Dogo unataka mwili mkubwa ????
Utajuta nakwambia hutakaa upende nyama tena![]()




