hiyo ndizi balaa
SIERA nakusalimu
SIERA nakusalimu
Nifundishe basi kesho nipate cha kunywea chai


chemsha viazi ponda vikiwa vyamoto weka chumvi ndimu ya kutosha pilpili , manjano kama unayo zungusha viduara ..Asante sana my dear!kesho mzigo mezanichemsha viazi ponda vikiwa vyamoto weka chumvi ndimu ya kutosha pilpili , manjano kama unayo zungusha viduara ..
Chukua ngano unga weka maji uwe mzito size ya uji bandika mafuta ..
Tia vidonge vyako kwenye unga dumbukiza kwenye mafuta makali kama dk 5 tayari
Sent from my iPhone using JamiiForums