Ndizi 😋😋
Unakula zenyewe? Mie napakaa asali nashushia na chai ya tangawizi![]()
zikiwa za motonapiga zenyewe mkuuzikiwa za moto
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee tupia tuu kiwe kibaya au kizuri leta tu hapa, tuwatamanishe watoke miudenda wale kulakula![]()
![]()
View attachment 566179View attachment 566180
Sent using Jamii Forums mobile app




Wali nazi namakange ya kuku na juice ya embe View attachment 1358619
Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo Mchana huu hako kavideo unalia na ugali kama mpare!!
Kande? Hapa lazima....ahusike