Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG_20200315_121827_8.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ni hatari hii obsession na chips ni mbaya
Kuna muda nilikuwa naweza kuacha kula nikawa na nakula matunda nmeamini kila jambo na wakati wake
Mm nikiweza kuja kuacha nikawa nakula matunda tu ntafurahi sana maana siwez napenda chips adi sio vizuri apo nmekula mchana saiv mate yamejaa mdomoni natamani nile tena chips

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom