amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,143
- 31,275
Ubwabwa wa kufunikia.Ni kweli kabisa mkate wa ufuta mwenzie mkaa..
Mimi wali wa rice cooker siuwezi kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sent using Jamii Forums mobile app
Ubwabwa wa kufunikia.Ni kweli kabisa mkate wa ufuta mwenzie mkaa..
Mimi wali wa rice cooker siuwezi kabisa
Sent from my iPhone using JamiiForums


inafaa mno na ubwabwa
Mboga ya serikali ikiwa inaiva jikoni nimeunga na karanga. View attachment 1352038
Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio mlo mmoja hapo? Jamani mimi hiyo nyama nyumbani kwangu nakula siku tatu
Ndio mlo mmoja hapo? Jamani mimi hiyo nyama nyumbani kwangu nakula siku tatu
Sent using Jamii Forums mobile app



kwani nakula peke yangu tena sio nyama ni firigisi lol

Kama wapo kwa nini wasiliwe!



Mkwe farkhina karibu
Ila tafadhali platozoom usifikeView attachment 1352439
Sent using Jamii Forums mobile app



.

mwanangu anapenda mseto ananiambia mama nipikie ile brown thing unatia kwenye mchuzi wa nazi 