Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Siyo kila siku kukaanga mchuzi mwekundu au dark siku nyingine chuku chuku kama hizi hapo na wali, leo naimalizia na ugali.
IMG_20200207_130147.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo mboga kiporo cha jana namalizia leo na ugali. Ugali nitasonga baadae nao niuweme? Ila nyumba yangu hawapendi ugali wanasusa hawali najikuta nakula mwenyewe.
Lakini namuambiaga dogo ukiwa na kwako utachagua msosi haoa unakula ninachotaka mie.


Sent using Jamii Forums mobile app
mie mpenzi wa ugali kuliko wote nyumbani unajikuta unakula pekeako tu.
 
Back
Top Bottom