Leo sijapika mmenipata kweli 🤣🤣🤣🤣.
Subiri nkanywe chai yangu
Nimekumbuka leo nikaona ngoja ni jaribu kupikaWali wa chokomwanangu anapenda mseto ananiambia mama nipikie ile brown thing unatia kwenye mchuzi wa nazi
![]()
Nimekumbuka leo nikaona ngoja ni jaribu kupika
nadhani ni apple juice

nilikuwa namtania, najua si mnywaji wa biaMaboga mixed na nazi na karanga
Sent from my iPhone using JamiiForums






Nyama ya kukaanga, kuna maharage kiporo na tembele kiporo.
Hapo nitapika na ugali View attachment 1353105
Sent using Jamii Forums mobile app

Alichopika mke wa kidigo!Mkwe farkhina karibu
Ila tafadhali platozoom usifikeView attachment 1352439
Sent using Jamii Forums mobile app