Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Kipindi nipo mdogo home kwa wazee, siku ukipikwa wali maharage tulikuwa tukiita Manchester United na Liverpool siku hiyo unaambiwa huwa sichezi mbali [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]

Wali kwa maharage na kachumbari ya papa mkavu [emoji91] .
 
Mdogo mdogo
IMG_20191010_175543.jpeg
 
Habari yako man!

Mzee hizo kuna shemeji yako ni barista ndo anatengenezaga. Kukupa contacts itakua ngumu mnooo [emoji23][emoji41]. Mimi mtumiaji tu, waweza cheki tutorials youtube si ngumu hata.View attachment 1225382

Mkuu [emoji23][emoji23] umenichekesha sana kwamba Contact hapana, sisi wengine hatuna mambo ya kijinga tunafata yaliyo tupeleka na kama ni darasa anafundisha analipwa anaheshimiwa kama mwalimu tukimaliza kila mtu anachukua njia yake
 
[emoji23] si unajua mjini hapa "abiria chunga mzigo wako". Hata hivyo sasa hivi yupo mbali kidogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom