Uzi wa vyakula tu

Don Vito

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2018
Messages
432
Points
500

Don Vito

JF-Expert Member
Joined Jul 15, 2018
432 500
Mkuu kwema Asee napenda sana kujua kutengeneza Cuppuchino na other coffee material unaweza toa msaada
Habari yako man!

Mzee hizo kuna shemeji yako ni barista ndo anatengenezaga. Kukupa contacts itakua ngumu mnooo . Mimi mtumiaji tu, waweza cheki tutorials youtube si ngumu hata.
IMG_20191006_232131_923.jpeg
 
HARUFU

Platinum Member
Joined
Jan 21, 2014
Messages
27,857
Points
2,000

HARUFU

Platinum Member
Joined Jan 21, 2014
27,857 2,000
1570401494872.png

Zamani nikwa mdogo nikisikia naitwa kwa nguvu, then nikiitika naambiwa 'shauri zako' Nilikuwa siagi, fasta home
najua kime eleweka tayari.

uView attachment 1225292
Mimi SAMAKI huwa sichoki.

Awe MAJI CHUMVI, au MAJI BARIDI, siyo tatizo kwangu
 
babukijana

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2009
Messages
5,986
Points
2,000

babukijana

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2009
5,986 2,000
Zamani nikwa mdogo nikisikia naitwa kwa nguvu, then nikiitika naambiwa 'shauri zako' Nilikuwa siagi, fasta home
najua kime eleweka tayari.

uView attachment 1225292
Umenikumbusha mbali sana, zamani nna njaa maza kamaliza kupika anasema hamna kula mpaka mdogo wetu wa mwisho awepo.
Basi hapo mi siongei naenda kumtafuta nnapomkuta anakula mijeledi Njia nzima huku tunakimbizana .ukute alikua anacheza rede🤣.
Tunafika hm tunahema kwa mbio ila hamna anayesema kitu maji ya kunawa yako wapi,tunapiga kitonge then kila mtu anashika hamsini zake.
 
ni kweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2017
Messages
209
Points
250

ni kweli

JF-Expert Member
Joined Feb 1, 2017
209 250
Umenikumbusha mbali sana, zamani nna njaa maza kamaliza kupika anasema hamna kula mpaka mdogo wetu wa mwisho awepo.
Basi hapo mi siongei naenda kumtafuta nnapomkuta anakula mijeledi Njia nzima huku tunakimbizana .ukute alikua anacheza rede.
Tunafika hm tunahema kwa mbio ila hamna anayesema kitu maji ya kunawa yako wapi,tunapiga kitonge then kila mtu anashika hamsini zake.
 
Forum statistics

Threads 1,344,244
Members 515,354
Posts 32,812,521
Top