Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Nifundishe kupikaBasmati fried rice na nyama ya ng’ombe kwa mbali kuna kikopo cha garlic and butter sauce,
Nifundishe kupikaBasmati fried rice na nyama ya ng’ombe kwa mbali kuna kikopo cha garlic and butter sauce,
Hata page ya kwanza kabisa ya huu uzi imesema unaweza kudanlod kama huna cha kupostKwani kuna ubaya gani kama nadownload,watu wanadownload pesa sembuse chakula,karibu tudownloadView attachment 1110337




SawaNifundishe kupika
Hehe hayaMimi nitakuwa mwonjaji
yeah ,ndiyo theme ya thread yetu pendwaHata page ya kwanza kabisa ya huu uzi imesema unaweza kudanlod kama huna cha kupost![]()
Hapo uyapatie na maharage ya nazi na uji wa mtama



Hapo uyapatie na maharage ya nazi na uji wa mtama![]()
.Maandalizi ya futari haya
Kwani kuna ubaya gani kama nadownload,watu wanadownload pesa sembuse chakula,karibu tudownloadView attachment 1110337