Naomba hifadhi kidogo ata week tu?![]()
Kuna mtu uko juu anauliza ni za kudownload 🤣🤣
Hbd..maisha mazuri nakutakiaHappy Birthday to me..View attachment 1109223
Huu ndo unaitwa mseto umesahau ugali bwana mkubwa
Asante bestHbd..maisha mazuri nakutakia
Ndiyo ,watanzania tushakariri menu zetu za nyumbani Monday to Sunday vyakula ni vile vile na upishi ni ule ule,Msamehe bure namfahamu.... Hata vya kudanlodi si navyo vimepikwa lakini?
Kwani kuna ubaya gani kama nadownload,watu wanadownload pesa sembuse chakula,karibu tudownloadSema nyingine una download![]()
Dah...Kwani kuna ubaya gani kama nadownload,watu wanadownload pesa sembuse chakula,karibu tudownloadView attachment 1110337




Basmati fried rice na nyama ya ng’ombe kwa mbali kuna kikopo cha garlic and butter sauce,Dah...![]()