Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Go east go west home is bestView attachment 1112868
2C5F585C-DE7D-4D3A-8B89-88DE60EC9E2D.jpeg
 
Inaonyesha watu wengi tunapenda sana junk food
Ila huu uzi umenifanya nisikie njaa usiku huu wa saa kumi na nimelala nimeshiba vizuri tu
Kabisa! Wanafikiri ndio kula vizuri kumbe ukila tudona+ tembele+ tuarage ndio mpango mzima,Mimi hizo habar za kula sijui mi baga nawale Ndugu zake nimeacha
 
Back
Top Bottom