billionea alpha
JF-Expert Member
- Apr 10, 2014
- 1,442
- 1,662
Nyie. Mjue kuna watu wana lala njaa
Kande limekubalii

Haya bwana aina noma washindi nyie.Sio mbaya ukifunga usiku![]()
Dah,umenitamanisha jumapili nalipikaHangover killerView attachment 1096954
Hata Kwa bure hujanilishaNyumban nile sausage moja naumwa zkpungua ni 3
Hiki cha kudownload kama sio kuscreenshot
NiceNakula kwa tabu sana nilijua leo simba nalala kwa raha ila sevilla imenifanya nitulie kbsView attachment 1105994
Hii ni breakfast ya___________Break fastView attachment 1102774
Sishangai kukuta menyu janja kama hii nyumba ndogo.