Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,096
- 9,074
Ninafanya kwa kiasi naamini mwili ukishazoea bas hakuta kuwa na shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninafanya kwa kiasi naamini mwili ukishazoea bas hakuta kuwa na shida
Nipunguzie kidogo na mieGood morning!! Brothers and sisters
#maishaniHayahayaView attachment 1033976
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, ndio mimi mwenyewe nimechange user name. Isitoshe jiko sahv limeshikwa na jiko mwenyewe wifi yake farkhinaMkuu Beberu Mwitu kuna jamaa fundi sana wa mapishi alikuwa anatokea visiwani anaitwa@alibakari sijui yupo wapi huyu bwana.
Sent using Jamii Forums mobile app















We jamaa weweGood morning!! Brothers and sisters
#maishaniHayahayaView attachment 1033976
Sent using Jamii Forums mobile app

siku nikiingia jikoni utajuta, ombea hivi hivi nizuiliwe kuingia 














We jamaa wewesiku nikiingia jikoni utajuta, ombea hivi hivi nizuiliwe kuingia
ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓


Anhaaa bwana Beberu Mwitu nilihisi hili ndi maana niliku mention kwenye andiko langu.Mkuu, ndio mimi mwenyewe nimechange user name. Isitoshe jiko sahv limeshikwa na jiko mwenyewe wifi yake farkhina
ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
Anhaaa bwana Beberu Mwitu nilihisi hili ndi maana niliku mention kwenye andiko langu.
Uwe unapika pika sheh wangu
Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu, ndio mimi mwenyewe nimechange user name. Isitoshe jiko sahv limeshikwa na jiko mwenyewe wifi yake farkhina
ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓

UNACHUKUA MAHINDI UNAYAKOBOA (HUKU KIJIJINI TUNATWANGA KWENYE KINU) HALAFU UNACHUKUA MAHARAGE(GWE) UNACHANGANYA PAMOJA KISHA UNAWEKA MAJI YA KUTOSHA UNAWEKA JIKONI YAKIKARIBIA KUIVA UNAWEKA KARANGA (SIO ZA KUSAGA) NZIMANZIMA THEN UNAUNGA KWA MAFUTA YA SAMLI NA VITUNGUU BHASI.
HUKO MJINI WANAWEKA NAZI NA MAZAGA MENGINE.
Shekhe nimepigwa zuio kuonekana jikoni na jiko lenyeweAnhaaa bwana Beberu Mwitu nilihisi hili ndi maana niliku mention kwenye andiko langu.
Uwe unapika pika sheh wangu
Sent using Jamii Forums mobile app



Sie yule, pale nilitania tu kwa picha ya kwenye mtandao. Mwenyewe siwezi kumpost humu.
Sie yule, pale nilitania tu kwa picha ya kwenye mtandao. Mwenyewe siwezi kumpost humu.
ᵂᵒʳʳʸ ⁱˢ ᵃ ʷᵒʳᵈ ᵗʰᵃᵗ ᴵ ᵈᵒⁿᵗ ᵃˡˡᵒʷ ᵐʸˢᵉˡᶠ ᵗᵒ ᵘˢᵉ✓
Mzee baba unaweka vitu bro..Good morning!! Brothers and sisters
#maishaniHayahayaView attachment 1033976
Sent using Jamii Forums mobile app

Mzee baba unaweka vitu bro..
Ama kwa hakika mwili haujengwi kwa matofali..
In shaa Allah nitamwambia na salamu zitafika.Okay haya tusalimie Mwambie akipika nyanya chungu aniwekee wifi yake maana nazitamani.
Sent using Jamii Forums mobile app