Mapishi mazuri kabisa
Nimekua vampire
Nyama ya mbuzi ikichemshwa huwa inakuaje
SijuiNyama ya mbuzi ikichemshwa huwa inakuaje
a tree is known by its fruit
napenda kula ivi kama jana yake nilipiga vyomboChai iliyowekwa viungo vifuatavyo:
Mdalasini,iliki,karafuu,pilipili manga na majani ya zataar.
Mkwe nakufukuzia mdogo mdogo farkhinaView attachment 1026614
Sent using Jamii Forums mobile app

napenda kula ivi kama jana yake nilipiga vyombo
TamuuuSmoothie ya mtindi na tui la nazi na vannila kwa mbali
Mapishi mazuri kabisa
a tree is known by its fruit

Kama mimi ila napendaga wali maharage au ugali maharage na vidagaa na mboga ya majani
Sent using Jamii Forums mobile app
mi kwenye dagaa hapo nikiwa nimepiga vyombo hapana ile smell ya dagaa inaweza nifanya nikarudisha chenchi na pia wali siwezagi kabisa
