Kumbe ni FRIED RICE!Hii haikua pilau ni wali wa mboga mboga.
Hapana sijawahi kupika pilau ya nazi.
Ila ubwabwa wa nazi kwa maharage ni
Sent using Jamii Forums mobile app
ZEGE
Safi sanaDona mboga mboga Tshs 2000 tu.mchana unapita.
View attachment 999222
Maji chumvi.
Vinavutia
Yes nyama unachanganya na tangawizi na spaisi fulani hivi jina limenitoka, mishikaki inakuwa mizuri sanaWakuu naombeni utaalam wa kutengeneza mishkaki mitamu iliyobora, kuna kaplace naanzisha soon so whenever I'm offduty ntakua namimi naenda kusaidia sasa kuna jamaa aliniambia sijui nyama unaichanganya na tangawizi etc. Naomba msaada please
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwe unanipatiaga sana walah..!
Mtaalamu mwenyewe wa mapishi ya ngano..upo vizuri
Nanaa
Mkwe unanipatiaga sana walah..!
Haya na mengineyo ndio mambo yangu haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe hujui kupika hataYangu je huyamiss
Ndio maana yake KiongoziDah.. Afya tupu
Jr