babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,934
- 20,229
Mi naskilizia hapa ugali utapelekwa pwani soon
Mi naskilizia hapa ugali utapelekwa pwani soon
msukuma na burger😂😂😂🤣


Jirani utapitwa na Superbowl si unajua wametuletea mjini kumekuwa bize...
Weeee....mie sio wa kupitwa na hiyo kitu aisee!
Hapa nilipo naombea tu hii winter weather advisory iishe haraka ili mambo yarejee kuwa kawaida.
Can’t wait for Sunday...