dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Dah, njaa nimehisi mimi.
Afande...., Hii ya Leo tafadhari kabisa nahitaji marudio weekend hii
Wapi hiyo! Oysterbay au?!Karibu mess kwa maofisa kapera..... Hahahahahaaaa
We jamaa endelea tu kunitesa, unanikumbusha Morogoro pale Coco beach



We mdada we

utaniuwa njaa nduguyo! Hivi ulinambia Tabata gani ile? Nataka niandae
na
za kuja nazo huko




Fanya hivyo kamandaAfande...., Hii ya Leo tafadhari kabisa nahitaji marudio weekend hii
Wengi watakao-like hii picha ya supu ya kuku ni wale watu wa 'maji'Kuku,supu naView attachment 1002166
Mchape bilioni tano, akishindwa natia maguu Unguja fastaUsijali kwa hilo,siku ukiambiwa ulete mahari billioni 1 usijekukimbia tu maana tunaweka Na gharama za samli Na unga humo humo
Sent using Jamii Forums mobile app