Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Sijapangia mtu chakula mmWee bwana wee wengine tunakula ugali asubuhi na chai na maandazi usiku
Tuendelee na uzi tusipangiane mambo tukaharibu uzi
Sijapangia mtu chakula mmWee bwana wee wengine tunakula ugali asubuhi na chai na maandazi usiku
Tuendelee na uzi tusipangiane mambo tukaharibu uzi
Sijapangia mtu chakula mm
Ni ww huyo hapo kwenye kochi???
Uliichemsha kwanza?
Na hao je au ndo wakwe zetu???me kemera man bwana
Na hao je au ndo wakwe zetu???
Msosi muhimuZingatia food mkuu
Naona vyakula vingi vingine vimekaa kwenye kochi. Halafu aliyepo ukweni hapo ni mdada sio mkaka

wacha sie tuendelee kula dona
Naona vyakula vingi vingine vimekaa kwenye kochi. Halafu aliyepo ukweni hapo ni mdada sio mkaka
Hivyo vibomba bomba ni vinini mkuu??
Mmh..