Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ah wale wamama ni wateja wazuri wa mshanaJr aisee
Lazima utembee kilometres kufuata mihogo ya buku tu
Utume na after kuandaa. Vya kununua sijui wanapikia bila nguo. Kuna kipindi nilikua naenda umbali mrefu kufuata mihogo ya mama mmoja hivi. Mpaka nikajishangaa baadae
 
IMG_0554.JPG
 
Utume na after kuandaa. Vya kununua sijui wanapikia bila nguo. Kuna kipindi nilikua naenda umbali mrefu kufuata mihogo ya mama mmoja hivi. Mpaka nikajishangaa baadae
Naam kwa maneno haya kweli nimeamini we mwarabu mswahili'
 
Back
Top Bottom