Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Aiseeh....unaonekana una uzoefu na vyakula vya nje...Makaroni![]()
Aiseeh....unaonekana una uzoefu na vyakula vya nje...Makaroni![]()
Makaroni![]()
Daah aisee hadi tumbo limeunguruma
AmekaririWee bwana wee wengine tunakula ugali asubuhi na chai na maandazi usiku
Tuendelee na uzi tusipangiane mambo tukaharibu uzi


Njoo kula kabla sijamaliza mwayaDaah aisee hadi tumbo limeunguruma
Njoo kula kabla sijamaliza mwaya
Basi kuna rafiki yangu anafanya kazi za ndani kwa 'wazungu' ananileteaga vyakula vingine vya ajabu kweli hayo makaroni nilipata shida sana kuzoea





Ewaa....mkuu ww ndo unajua mamboAlamsiki brothers and sisters View attachment 950919
Usiku huu unataka nikatafute viporo frijini mkuu 😂😂😂



,juice ya carrot Na nini iyo?Ma sha allah.
farkhina wanikosha sana na maanjumat yako.
Sent from my HUAWEI VNS-L21 using JamiiForums mobile app
Usiku huu unataka nikatafute viporo frijini mkuu![]()



usubiri Na kitambi 
Dah walah
mumeo atakuwa anafaidi maanjumati sana aisee.
