Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,299
- 46,749
Naona wazee mnaongeza libido tu
Maganda ya karanga ya Zinc(Zn) na yanatumika kutengeneza hormone ya testosterone..So karanga mbichi ni nzuri sana
Naona wazee mnaongeza libido tu
ooh mama mia
sisi wa diet tunakoment wapi?
Na bado....wiki mbili zangu zijazo naenda Mwanza.....kuna sato za ukweli zinanisubiri huko....
hii ni Konki Konki
Uwe unaniitiaga mambo kama hayo yaani fasta...
Uwe unaniitiaga mambo kama hayo yaani fasta...
Nimeizoom lkn hola, nini hii wakunyumba