Uzi wa vyakula tu

Yaani.

nakula kula tu tuvitu vitu. ugali, wali, pilau, ndizi my favorite ndizi za moshi, mihogo, viazi lishe nimekula sana na kuku choma, salads za kiswahili basi….
mi ndizi sijawahi kuzielewa kabisa mara nyingi nikila zinaniletea kiungulia, myfvrt ni pilau, mihogo ya kuchemsha, magimbi na ugali dagaa,,

huku nilipo kuna mahali wanauza kuku ndimu yani kachomwa alf katiwa ndimu kama yote ni mtam balaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…