win-one
JF-Expert Member
- May 28, 2024
- 4,642
- 14,794
mshamba_hachekwi ulisema unataka kuona the result eeeh haya kuja huku
Hivyo vyenye mchuzi ni ngogwe?mshamba_hachekwi ulisema unataka kuona the result eeeh haya kuja huku
ngogwe ndo nini?Hivyo vyenye mchuzi ni ngogwe?
ngogwe ni nyanya chungu kwa kule kaskaziningogwe ndo nini?
vipande vya samaki kibua plus nyanya chungu
sasa mi na kaskazini wapi na wapi😂😂 basi ni ngogwe😄ngogwe ni nyanya chungu kwa kule kaskazini