Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 19,941
- 41,102
Hii ni chair fire 🔥
Hii ni chair fire 🔥
Nakula aisee...wakishua watahisi hiki ni chakula cha mifugo😂😂,, nitoe kitu sasa mshamba_hachekwi utakula?
shape gani kijana🤣🤣Nakula aisee...
Kumbe ndio maana una-maintain shape mkuu unakula vitu vyenye afya.
Ukiivisha weka picha nione mkuu.shape gani kijana🤣🤣
mimi ni mvivu wa kukaangiza ndo maana naishia kula vitu vya kuchemsha vilivyo nikuza huko utotoni,, junk food sio mpenzi sanaa naona kama havina radha ila nakulaga kwa ham mara moya moya
nishamaliza kula labda nikuoneshe bakuli😂😂,, nilisahau kutake photo chakula kilinukia mnooooUkiivisha weka picha nione mkuu.
Haaahaa 😊 ☺️wakishua watahisi hiki ni chakula cha mifugo😂😂,, nitoe kitu sasa mshamba_hachekwi utakula?