Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 15,768
- 122,884
Hivi kuna mtu anamaliza hiki chakula?
We mvivu km mimi 😂😂😂Hivi kuna mtu anamaliza hiki chakula?
Nipo hapaaHivi kuna mtu anamaliza hiki chakula?
Yaani hapo unakula hizo kachori zote,kuku,samaki,mishikaki na soda unashushia?Nipo hapaa
Hii kitimoto??!
Mimi ni mbadiiii kwenye kula ndio maana Mimi ni bongeeeYaani hapo unakula hizo kachori zote,kuku,samaki,mishikaki na soda unashushia?