shibela
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 3,555
- 12,150
Kama wewe ni mbonge,basi nimekubali hicho unamaliza maana Kuna bonge mmoja alikuwa anapiga kilo 2 za kitimoto na ndizi 4 peke yake🤣🤣🤣🤣Mimi ni mbadiiii kwenye kula ndio maana Mimi ni bongeee
Kama wewe ni mbonge,basi nimekubali hicho unamaliza maana Kuna bonge mmoja alikuwa anapiga kilo 2 za kitimoto na ndizi 4 peke yake🤣🤣🤣🤣Mimi ni mbadiiii kwenye kula ndio maana Mimi ni bongeee
Huyo simfikiiii 😁😁😁Kama wewe ni mbonge,basi nimekubali hicho unamaliza maana Kuna bonge mmoja alikuwa anapiga kilo 2 za kitimoto na ndizi 4 peke yake🤣🤣🤣🤣
Miguu ya n'gombeHapana mkuu
Anakuandalia supu ya pweza ana mpango Gani na wewe?Kwa hisani ya mother house.. The one and only💕 mamaa Angel Nylon 💖View attachment 3589386View attachment 3589387
Hutu ndo kuku sasa.... sio hawa tunaolishwa huku dsm