Lete misosi mwana nna njaa balaa😁
Spanish omlette mboga mboga zote imo hata bacon au nyama unawekaHapo ndiyo sijui, maana naonaga tu yai lililokaangwa ndani yake kuna vitu kama majani.
Peperon ,jalapeno,red onion,cherry tomato,bell pepper zote zinaenda kwa pizza its veg,ukiweza ujaribu na peperoni utaipenda sana😅 ndo mother of all pizzas