Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

1758358932631.jpg
 
Kuna samaki ziwa nyasa anaitwa mbasa wanyakyusa wakimpika na ndizi ni chakula hasa.
Mbasa watamu sana na Ndizi, siku hizi adimu.wananunuliwa huko huko ziwani kyela au kwa order wameisha.
Tukuyu nilikosa kabisa
 
Back
Top Bottom