babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,939
- 20,231
Bokoboko kwa arage huwa linateremkaga saaafi kabisaš
Bokoboko kwa arage huwa linateremkaga saaafi kabisaš
na kachumbari pembenišBokoboko kwa arage huwa linateremkaga saaafi kabisaš
Ila huu mzigo ukipoa unakua kokotoView attachment 2726338
Sijaja duniani kusindikiza watu acha nile tu kufa kupoš„¹



Upare moja hiyo.
Bomu hilo kajilipuwe ubalozi wa DPW wataelewa hatutaki wawekeze bandari.
watu mnaopenda pineapple kwenye pizza sijawahi kuwaelewaš
Na hiyo pineapple ndiyo imefanya leo kwa mara ya kwanza nimekula Pizza nikaipenda....watu mnaopenda pineapple kwenye pizza sijawahi kuwaelewa![]()

ukiweza ujaribu na peperoni utaipenda sanaš ndo mother of all pizzasNa hiyo pineapple ndiyo imefanya leo kwa mara ya kwanza nimekula Pizza nikaipenda....
Inakuwa tabu sana![]()
OK...nitaijaribuukiweza ujaribu na peperoni utaipenda sanando mother of all pizzas