MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,528
- 21,812
Katoroshwa, hata hakuniaga😁🤦♂️
Dah ngoja arudi tukae kikao.Katoroshwa, hata hakuniaga😁🤦♂️
Kujamba sasaView attachment 3259781
Supu ya maharage....!!
Humo ndani ina mambogamboga kibao, kikubwa tumbo lishibe.
Njaa haina adabu.
Chapati 2 na Pepsi
Kujamba sasa
Hii mboga ni mchanganyiko wa nini na nini?View attachment 3265324
Hili lilikuwa shata la mdudu...😋.
View attachment 3265325
Lilasindikizwa na ugali wa viazi...😋😋😋
Was on pint 👌.
View attachment 3265326
Sahani ilirembeka hivyooo.
Hii mboga ni mchanganyiko wa nini na nini?