juice ya tikiti
nimekuhamu!Wasio na meno wanatamka...
Tikitiki maji...😅😅
Taamu hiyo, iliungwa na pilipili manga 😋😋.
nimekuhamu!
Loh!..Njoo coco Beach tule mihogo ya kukaanga na madafu. Ila mishkaki hapana 😄.
Loh!..
Mi sitaki mihogo nakutaka wewe!Huna meno ama kiberenge kimekufa...!!?😁.
Mi sitaki mihogo nakutaka wewe!
Hizo mboga haziendani kabisa na hiyo kitu, mbwembwe zikizidi ndo hivyo.
Wapakistan ndo wanavyokulaHizo mboga haziendani kabisa na hiyo kitu, mbwembwe zikizidi ndo hivyo.
Wanaweza kuwa wanakula vyote hivyo not in one plate.Wapakistan ndo wanavyokula
Wewe unaita mbwembwe kwao ni utamadun
Unataka kupangia watu waleje?😂😂Wanaweza kuwa wanakula vyote hivyo not in one plate.
kwa vipindi.
But that one its hell whole no plan just eat.
Wapi huko?13000 mkuu