Acha basiπππWateja walipungua huu mwezi, naona Mbuzi Katoliki amepotea ghafla mitaani kumbe walaji mmeongezeka
Mmefungulia vyoteAcha basiπππ
HaaaMdudu kilo shingapi huko kwa leo
13000 mkuuMdudu kilo shingapi huko kwa leo
Acha basi πππUsituharibie Funga Mkuu
Nakukumbusha Bado Sita
Huku moro 12000 π13000 mkuu
Huku 16,000Huku moro 12000 π
12000 Kwa 13000 ila Jana niliotea mahal kilo 10k ukitoa 11k unapata kachumbali na ndizi juuHuku moro 12000 π
Huyu mdudu kumbe sio wa kitotoHuku 16,000
Mdudu ana bei na ukiingia huko mjini kati anauzwa kuanzia 25KHuyu mdudu kumbe sio wa kitoto