You only have today....
You only have now...
Eat... 😋😋😋
Shikirimu ya Balesa taamuu...😋😋😋😊😊
Aahahaaahaha nimekumbuka watoto wa Mbagala kwetu wanavyoimba mtqani wakiwa wanacheza....
"Nipeleke nipelekee, waapiii kwa Baresa
Kwa Baresa kuna nini, konii kwa mrija
Wanatengeezea nini, majii ya mferejini
Kwanini mnakula, weeeh... yazidi sukarii...😋😋😋
Ukitoka huko nipitie hapa kwa bi kidawa komakoma tubebe kisinia chetu cha uswazi.
Mumeo nna arlegy na hiyo chakula hapo,ila sikusema wakati natoa mahari😁😅.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.