Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 14,526
- 112,725
Naitaka hii KasieView attachment 3127100
Hii supu haikuwa tamu hata....!!!😒😒😒
View attachment 3127103
Niliendelea kuinywa na kuimaliza sababu ni healthy soup... nafaka zimechanganywa na nyanya na mbogamboga na kuchemshwa.
Duh hizi speed zimeiva kweli🤣🙌
Hiyo juu haina mpinzani,mchuzi mate