Ms eyes
JF-Expert Member
- Feb 4, 2023
- 4,773
- 11,976
Sanaaakumbe na wewe unatumiaga hizi anasa😋
Sanaaakumbe na wewe unatumiaga hizi anasa😋
Operesheni punguza mwili naona inakwenda vizuri

Hapo unashiba kwel mkuu?
Hii mboga ya mayai inapikwaje mkuu nifundshe
Hiyo kama nyeusi ni nini mkuu?
Ini na firigisiHiyo kama nyeusi ni nini mkuu?
Unajua kulipika vizuri?Mambo yangu
🚶♀️🚶♀️
mihogo iheshimiwe😋
Kwakweli...mihogo iheshimiwe😋