mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 22,269
- 71,933
Hii yote unamaliza?
ndio😥 kwahiyo hunitaki tena?Hii yote unamaliza?
Kwani mimi nilisema nakutaka😂? Hii mihogo mingi sanandio😥 kwahiyo hunitaki tena?
kwenda hukoKwani mimi nilisema nakutaka😂? Hii mihogo mingi sana
Kwahiyo umemaliza?kwenda huko
nimeshakazia na maji kabisa, hapo mpaka kesho tena nimeshiba sanaKwahiyo umemaliza?

Operesheni punguza mwili naona inakwenda vizuri![]()





Mbona chakula kingi sana hichoDaah hapa unakula nini aisee au una maintain![]()
Moyo u radhi lakini mwili ni dhaifu..
Tuombeane mdogo wangu.





Vijiko vitano tu vya chakula vinatosha.
Tena ule mboga za kuchemsha tu..Achana na pizza.



