Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Nitajitahidi jamani...
Hiyo yenyewe nilishinikizwa tu...mimi huwa siyo mpenzi kabisa..




Nitajitahidi jamani...
Hiyo yenyewe nilishinikizwa tu...mimi huwa siyo mpenzi kabisa..




Unajua kulipika vizuri?
Ningependa unifundishe maana hua haliivi.Saaanaaaa
Kwanini unafanya hivyo?nimeshakazia na maji kabisa, hapo mpaka kesho tena nimeshiba sana
ni leo tu usijali, tunaita pasi ndefu...Kwanini unafanya hivyo?
Anhaa, pole.ni leo tu usijali, tunaita pasi ndefu...
afu nilikua na hamu ya mihogo
Karibu MkuuDaaah![]()
Karibu Mkuu
UtaongezaAsante sana kidogo hakitoshi