Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,483
Kawaida kama unapasha ila dakika za kutosha! 😆😆😆Wali? 😂 ungepress batan gani?
Me naona hapa
Grill
Comb 1-3
Na manual sijui niliiweka mtaa gani
Sema ilikuwa kitambo. Ngoja ntajaribu tena nikuonyeshe unavyotokea.🙂
Embu tuone hiyo model yako....