Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,826
- 11,647
msaka nyoka tu mkuu


Washa kuni chap mammy.Yani nimekipania...🤤🤤
Wali kesho maana gas imenikimbia wakati napika mboga. Nahisi nikiupika kwenye umeme unaweza kuwa uji.🥴
Vitu gani hivyo unakwepa kupika???Washa kuni chap mammy.
Ila mapishi yanahitaji moyo .
Hapa nna vitu viwili kupika ila naghairi kila muda🤣🤣🤣.
Mwisho vioze nimwage.
No leo navishulikia vizuri tu..
Duuh inabidi nipambane na umasikini wangu aseeee hii menyu sijui mara ya mwisho kula ni lini 😋😋😋😋😋
Kwani samaki samaki sh. Ngapi???Duuh inabidi nipambane na umasikini wangu aseeee hii menyu sijui mara ya mwisho kula ni lini 😋😋😋😋😋
Nasemea wali mkuuu sijaula kwa siku nyingi sana 😋😋😋Kwani samaki samaki sh. Ngapi???
Basi sawa!🙂Nasemea wali mkuuu sijaula kwa siku nyingi sana 😋😋😋