Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,488
- 203,174
Kidogo tu, ya kushtua umaskini 😂😂Kwani lazima mpendeze sana???🙄
Kidogo tu, ya kushtua umaskini 😂😂Kwani lazima mpendeze sana???🙄
Ukipata changamoto ya picha kutokufunguka: ndizi mbivu 1 na tubiskuti pc 2 😂😂
Yan tuigawane hiyo moja?
Ziko za kutosha!!!Yan tuigawane hiyo moja?
Andaa nyingine, nakuja na juice yangu View attachment 2602784
Afya tupu
😂 tunagawana hiyo hiyoZiko za kutosha!!!
Juice ongeza na nyingine usije ukaishia kula chapati kavu. 😋
Yani nimekipania...🤤🤤Kibua cha nani 😍
Pika wali mwingi sasa
Yani nimekipania...
Wali kesho maana gas imenikimbia wakati napika mboga. Nahisi nikiupika kwenye umeme unaweza kuwa uji.![]()




Kibua kitamu, shida tumifupa jamaniYani nimekipania...🤤🤤
Wali kesho maana gas imenikimbia wakati napika mboga. Nahisi nikiupika kwenye umeme unaweza kuwa uji.🥴
Ukagoma kutupikia wali 😁
Leo unatupikia niniUkagoma kutupikia wali![]()

Makande 😋Leo unatupikia nini![]()