Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Uliweka haraka haraka kwa mpigoNimezidisha unga
Uliweka haraka haraka kwa mpigoNimezidisha unga
Eee haraka haraka nisikosea zahanat ya kijiji ikaniponzaUliweka haraka haraka kwa mpigo
Za kudownload hazileti ule uhalisia kabisaKweli jamaa mpk anaboa mnoo
Kumbe mama Mwazani shida yake ni njaaEee haraka haraka nisikosea zahanat ya kijiji ikaniponza
Ila kibembe na mjomba wake wananichekesha sanaa hawapatanii dada mtu inabidi amtetee mdogo wake![]()









😂😂😂😂😂 banaaaaKumbe mama Mwazani shida yake ni njaa
Ndo maana anamtarget Ombeni
Eti nyota yako mwanangu naiona Kwa yule daktari
Mimi napenda mahaba ya Masalu Kwa Tausi
Li Masalu lina wivu hadi basi.
Shost, huku watatufukuza na hizi mada![]()