Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,308
- 32,790
utamu wa samaki kichwa mkuu.....umekiachaje
Ukitaka nisile samaki bakisha kichwa. Sili kabisa sijui nakionaje.utamu wa samaki kichwa mkuu.....umekiachaje
😀😀siku mojamoja sio mbayacia wakujitegemea
Napenda sana pia zinanisaidia nisipate choo kigumu🫣