Ndege Tai
JF-Expert Member
- May 6, 2020
- 5,090
- 9,426
Nilikula hivi kwa mwezi mmoja ,nilipungua mno tatzo watu walinijaza hofu hadi nikajihisi au nimeukwaa,nilipima mara mbili mbiliNataka nirudi tena huku,nimeanza kunenepeana hovyo
Throw-back Thursday..1year ago, march15, 2022.
View attachment 2554208
Kuna wengine wakaanza kunishauri nipunguze stress mimi bado mdogo
,nimeanza kunenepeana hovyo


