Hahahha hilo limeisha sema jingineSina...ila ukinitumia sato ntamtafuta popote 😁
Lizzy sijawahi kuandika chochote kuhusu wewe ama mapishi yako.
Nadiriki kusema wewe ni msafi/nadhifu mno jikoni kwako na nadhani hu msafi kwa jumla na upo unajua kupangilia kila kitu kikakaa mahali pake.Lizzy sijawahi kuandika chochote kuhusu wewe ama mapishi yako.
Wakati wote huwa na observe tu.
Pamoja na sifa nyingi za watu wanazokupa humu kuhusu kupika na kula chakula kidgo ila sifa yako moja kubwa inayonipendeza kwako ni USAFI NA MPANGILIO.
Nadiriki kusema wewe ni msafi/nadhifu mno jikoni kwako na nadhani hu msafi kwa jumla na upo unajua kupangilia kila kitu kikakaa mahali pake.
Kila picha yako unayo post natizama utakuwa jiko safi, sahani safi, microwave safi hata nikitizama chini kwenye tiles naona kuna ngaaa.
Unastahili pongezi mnoooo.
Napenda sana mnoo mtu wa hivi.
Siku zote huwa na observe na kufurahi moyoni ila leo nimeamua kukupa sifa zako.
Bila shaka observation hii wamefanya wengine pengine hawajapata muda wa kukusifia tu, ila naamini wote wataungana nami.
Kwa kweli dada Lizzy nakutunuku shahada ya juu ya heshima ya usafi na mpangilio mzuri honoris causa(Phd in sanitation and good arrangement honoris causa)
Hongera Dr. Lizzy phD

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Lizzy sijawahi kuandika chochote kuhusu wewe ama mapishi yako.

Kwa macho ni tam

Kutamani sio dhambiView attachment 2506049View attachment 2506050

Nasikitika naondoka Dar sijaonja keki yako....nilipanga May birthday yangu niwe customer wako kabisa. Asante tule kwa macho tuu
Dah🥲Nasikitika naondoka Dar sijaonja keki yako....nilipanga May birthday yangu miwe customer wako kabisa. Asante tule kwa macho tuu

Yaani naondoka week ijayo kurudi mpaka mwakani jamani.