babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,943
- 20,233
Vyote recipe ni moja tu,nakurudia ngoja nishibeMsaada
Mapafu ya Mbuzi hupikwa?
Kama ndio hupikwaje?
Moyo na Figo za Mbuzi hupikwaje?
Maini ya Mbuzi hupikwaje?
Kuna sehemu kawe huwa nanunua maini ila huwa natupa mapafu, moyo na mengineyo sababu sijui pika
. Kuku n anasa
huo mchuzi ni wa mboga gani au nyanya tu?
