Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Duuh picha in 2mb tuoneeni huruma jamani uzi tunaupenda tatizo bando
Duuh picha in 2mb tuoneeni huruma jamani uzi tunaupenda tatizo bando
Kwa kweli hiki chakula kimenishinda jamani
Hata sijui, sikipendi tukwann
Vyuma vimekaza, Njaa-nuary kibokoS mnajua tuko January. Kuku n anasaView attachment 2473412
Noma kabisaVyuma vimekaza, Njaa-nuary kiboko

Kitunguu kwa wingi kisha roast na mazagazagaMsaada
Mapafu ya Mbuzi hupikwa?
Kama ndio hupikwaje?
Moyo na Figo za Mbuzi hupikwaje?
Maini ya Mbuzi hupikwaje?
Kuna sehemu kawe huwa nanunua maini ila huwa natupa mapafu, moyo na mengineyo sababu sijui pika
Magimbi?Nayapenda sana, uyapate yenye unga yale na chai ya rangi...hapo mwaka mzima naweza kula
Sent using Jamii Forums mobile app