Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Nigerian%20Okra%20Soup%20%26%20Fufu%20(Pounded%20Yam).jpg
 
Sawa
Mimi huwa natupa moyo, mapafu nachukua maini pekee

Hebu nisaidie tuone
Vyote vinaliwa kwa mapishi sawa tu,moyo unaweza ukatrim yale mafuta kandokando na mapafu.
Huwa tu nakata ndogo kiasi marinate na garlic tangawizi ,soya vinegar au ndimu curry powder kwa mbali.
Unga kiduchu, kasukari kwa mbaali.
Funika 1 hour au overnight..
Ukitoka hapo ni kuichaaraza moto mkali kwenye mafuta tu unatupiaa kitunguu tu.
Ila ukitaka mboga zingiwe wewe tu.
Unastir fry chap mpk ile majimaji yanakatika
Badae, soya vinegar tena kidogo inaisha hiyo.
Ugali uwe tayari maana hiyo ikitoka motoni ni kuliwa tu chap isipoe.
Jaribu hiyo ukishindwa kuna mchemsho wake easy tu.
 
Faida Za Kutumia Tangawizi

Tangawizi ni Zao Ambalo Hutumika Kama Kiungo Katika Chakula na Unga wake Hutumika Katika Vinywaji Kama Juisi,Chai na Katika Chai Pia

Tangawizi Iliorodheshwa na Serikali Ya Marekani Kama Dawa Kwa Ajili Ya Binadamu Mwaka 1873
20230110_081302.jpg
 
Vitamini na Madini Yalimo Kwenye Tangawizi
Vitamini B3 (Niacin) na B6 (Pyridoxine)
Madini ya Chuma (Iron)
Madini ya Potassium na Sodiamu
Madini ya Magnesium
Vitamini C
Madini ya Phosphorus
Madini ya Zink
Vitamini B complex,A,E
Madini ya Calcium na Carotene
20230110_081302.jpg
 
FAIDA

Huondoa Sumu Kwa Haraka Sana Mwilini
Huondoa Uvimbe Mwilini
Huua Vimelea Mbalimbali vya Magonjwa na Mayai Yake
Huondoa Maumivu ya Koo
Huua Bakteria Wa Aina Nyingi Mwilini Hata Bakteria Anayesababisha Taifodi
Huondoa Maumivu Mbalimbali mwilini
20230110_081302.jpg
 
Huondoa Homa Baridi(chilla)
Hutibu Saratani Ya Tezi Dume.
-Tangawizi Huua Enzyme ya 5-LO Ambayo Huwa ni Chakula Cha Seli za Kansa ya Tezi Dume na Kupelekea seli za Kansa Kufa
Husaidia Kuzuia Shambulio la Moyo
Hushusha Kolestero(cholesterol)
Hutibu Shindikizi la Juu la damu(hypertension)
Husafisha Damu
Huzuia Damu Kuganda
Huongeza Msukumo wa Damu
Husaidia Kuzuia na Kutibu Kansa ya Titi
Husaidia Kutibu Kansa ya Mapafu
Hutibu kansa ya Kizazi na Kwenye mirija Ya Kizazi
Huzuia Kujizalisha Kwa Bakteria Anayesababisha Madonda ya Tumbo
Ni Dawa Nzuri Kwa Kansa Ya Damu
Huzuia Kuongezeka Kwa Seli za Kansa ya Kongosho
Huondoa Gesi Tumboni Kiurahisi na Kwa Haraka Zaidi
Ni Dawa Nzuri Kwa Kuondoa Hangover na Uchovu
Husaidia Mfumo wa Mmeng'enyo wa Chakula
Huondoa na Kunguza Msituko kwenye Utumbo Mpana
20230110_081939.jpg
 
Husaidia Kuongeza Kinga Ya mwili
Husafisha Utumbo Mpana
Hutimu Tatzo la Kupata Choo Kwa Shida na Husaidia Kutibu Kansa Zinazosababisha Kupata Choo Kigumu Kwa Mda Mrefu
Hulinda Mishipa ya Damu
Husaidia Kuongeza Afya ya Nywele,Ngozi,Kucha na Meno
Hutuliza Dalili za Pumu
20230110_082059.jpg
 
MATUMIZI TANGAWIZI

Unaweza kutumia kama Kiungo Katika Chai
Unaweza Kuchanganya Kwwnye Juisi ya Kutengeneza mfano Parachichi ,Embe N.K
Unaweza Kuchanganya Unga Wake Kwenye Maziwa au Asali
Unaweza Kutafuna Ikiwa Mbichi
20230110_082203.jpg
 
Back
Top Bottom