Alianza sigara ananielekeza jinsi ya kuvuta moshi utokee puani, nilikohoa sana nikaanza kumkwepa.Hivi sigara na bangi unafundishwa?
Ushindwe na ulegee! Halafu niishije?Tabia mbaya ya kukupenda naacha!!
Mzee anazeeka vibaya huyu🤣
Ukitaka na radi pia za kupima zipo jumla na reja rejaNakuja mkuu 😂
Naunga mkono hoja. 📍
Halafu unajua Kuna watu jinsi walivyo wanakuta Eti ni bahati mbayaBange huweziii kuacha we sema unapumzika Jo
We hukuwa mtu wa pornZipo njia nyingi sana Moja wapo mtu kujiKeep busy , kuepuka sehemu na watu wenye ushawishi mbovu , kuhamia kwenye starehe nyingine au chochote unachopenda ambacho hakina madhara , kufanya Ibada sana nk
Mimi nilikuwa porn addicted , nikaandika kwenye notebook kwamba rasmi naahana na hayo mambo nikahamishia nguvu kwenye vitu ninavyopenda vingine kama vile games , movies nk hatimaye nineshinda uraibu miaka kibao nimetoboa bila kunihusisha tena .
Na siku akiacha kilofa anawehukaJaribu kutrack kwanini uko addicted, kwa mwanamke kupenda hio kitu lazima Kuna kitu behind, track that, life is complicated kuacha tu using your mind.
Ninekutana na wewe unaishi, leo unashindwaje kuishi!!Ushindwe na ulegee! Halafu niishije?
Siwezi kuishi bila wewe.Ninekutana na wewe unaishi, leo unashindwaje kuishi!!
Hizo swagger GenZ hata hawazijui!!Siwezi kuishi bila wewe.