Uzi wa nidhamu na mabadiliko chanya

Uzi wa nidhamu na mabadiliko chanya

Saf
Baada ya kuwa addicted na uvutaji wa sigara kwa miaka mingi sana hatimaye mwaka 2003 niliamua kuacha rasmi uvutaji wa sigara na nimefanikiwa kutovuta tangu wakati huo hadi leo hii.

Unywaji wa pombe uliokithiri niliacha mwaka 2017 baada ya kuugua nusu ya kufa ,nikashauriwa na daktari niachane na ulevi hasa wa pombe kali, nilijitafakari sana hatimaye nikaachana na aina zote za pombe na nimesimamia msimamo wangu tangu wakati huo hadi sasa.

Simamia msimamo wako unaweza, ingawa mwanzoni mwanzoni ni ngumu sana lakini ukikaa mbali na mazingira yanayoweza kukushawishi kufanya hilo ulilokusudia kuacha hakuna ugumu wowote. Kila la kheri
Safi sana mkuu umenitia moyo vizuri sana maana mimi hapa nakaribia mwaka wa 3 sigara na pombe sijatumia nafurahia maisha maana ilikua kama nipo gizani hivi na nikafanikiwa kwenye mwanga kutoka hakika Mungu ni Mwema.
 
Hey people good morning,

Uzi huu ni maalumu kwa wenye matamanio ya kuacha tabia za "hovyo" na kuanza tabia nzuri na zenye manufaa binafsi,na jamii

Binafsi kuanzia leo tarehe 9 June, saa 06:00 asubuhi
Nimeamua kuacha kutumia skanka rasmi
Nimeamua kujaribu hadi kuweza kumrudia Mungu mazima
Nimeamua kuacha tabia ya kuwa mnyonge kwa wanaonizunguka huku duniani
Na mengine mengi yanayoenda kunijenga

Uzi huu uwe kumbukumbu na ukumbusho wa ahadi hizi, ili tuweze kujipima kila siku na kuona maendeleo yetu

Let's do this together.
Inshallah
 
uwe unakuja kuisikiliza kilasiku Joanah
 
Back
Top Bottom